Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 12/15 uku. 25
  • Utafutaji wa Ukweli Wathawabishwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utafutaji wa Ukweli Wathawabishwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Habari Zinazolingana
  • Kanisa La Kweli na Msingi Wake
    Kweli Iongozayo Kwenye Uzima wa Milele
  • Kanisa—Mabadiliko na Mvurugo
    Amkeni!—1993
  • “Mtafuteni Yehova, Mwendelee Kuishi”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 12/15 uku. 25

Utafutaji wa Ukweli Wathawabishwa

KWA SABABU ya kutotoshelezwa sana akiwa mhubiri wa kawaida katika kanisa la Kipresbiteri, muungwana mmoja wa kiume alianza kutafuta-tafuta kanisa la kweli la Mungu. Aliandika matakwa kumi ambayo alihisi kanisa la kweli limepaswa kuwa nayo. Tayari alikuwa anaelewa kwa usahihi jinsi fundisho la moto wa mateso, kutokufa kwa nafsi, na kadhalika halipatani na maandiko. Kwa muda wa miaka 30 aliongoza utafutaji huu. Alipofikiwa na mmoja wa Mashahidi wa Yehova, alianza kumtupia makombora ya maswali, kama vile: “Kundi dogo ni nani? Ni nani walio wale 144,000 na kondoo wengine?” Alipopata majibu yenye kutosheleza, alikubali kuwa funzo la Biblia. Baada ya miezi mitatu alisema hivi kwa yule Shahidi: “Basi, Ndugu, lililo kanisa la kweli la Mungu ni Mashahidi wa Yehova.” Sasa yeye ni mwenye umri wa miaka 71 na ana furaha kwa kuwa amelipata kanisa la kweli baada ya utafutaji wa miaka 30!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki