Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w95 12/15 uku. 31
  • Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1995

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1995
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Vichwa vidogo
  • BIBLIA
  • MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO
  • MAKALA KUU ZA MAFUNZO
  • MAMBO MENGINE
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA YA WATU
  • MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI
  • WAPIGA-MBIU WA UFALME WARIPOTI
  • YEHOVA
  • YESU KRISTO
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
w95 12/15 uku. 31

Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1995

Ikionyesha tarehe ya toleo ambamo makala yaonekana

BIBLIA

Biblia Ina Thamani ya Kiasi Gani? 3/15

New World Translation Yamvutia Msomi, 4/15

Ni Nini Mwandiko wa Kimasora? 5/15

“Testamenti ya Kale” au “Maandiko ya Kiebrania”? 3/1

Wanapoisoma, Wanavyonufaika, 5/1

MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO

Familia za Kimungu za Wakati Uliopita, 9/15

Faraja kwa Wale Wenye “Roho Iliyovunjika,” 11/1

Jilindeni na Kujiona Waadilifu! 10/15

Jinsi Wakristo Hukabili Shutumu ya Peupe, 4/1

Kataa Mapokeo Yasiyo ya Kimungu! 8/15

Kupambanua Udhaifu, Uovu, na Toba, 1/1

Kutenga na Ushirika—Uandalizi Wenye Upendo? 7/15

Linda Hisi Yako ya Uharaka, 10/1

“Msiwe Wenye Kufungwa Nira Isiyosawazika,” 11/15

Ni Kosa la Nani? 2/1

Roho ya Kutoa, 12/15

Saburi—Kwa Nini Ni Nadra Sana? 6/15

Shika Uaminifu wa Maadili Ukaishi! 1/1

Somo la Jinsi ya Kushughulika na Matatizo, 2/15

Thawabu za Udumifu, 8/1

Uadilifu Hutukuza Taifa, 12/15

Umetia Moyo Yeyote Karibuni? 1/15

Unaweza Kupita Vizuizi Hivi! 7/15

Unaweza Kutajirishaje Sala Zako? 3/15

Ungeuzima Utambi Ufukao Moshi? 11/15

Useja Katika Nyakati Ngumu za Kiuchumi, 6/15

Utii wa Kimungu Katika Familia Iliyogawanyika Kidini, 6/1

Waweza Kusitawisha Ufahamu Zaidi? 9/1

MAKALA KUU ZA MAFUNZO

Fungu la Wanawake Lenye Heshima Miongoni mwa Watumishi wa Mungu wa Mapema, 7/15

‘Hivyo Ndivyo Walivyofanya,’ 12/15

“Israeli wa Mungu” na Ule “Umati Mkubwa,” 7/1

Kaa Katika “Jiji la Makimbilio” Ukaishi! 11/15

Kubali Biblia Kama Ilivyo kwa Kweli, 5/1

Kuchochea Kwenye Upendo na Kazi Zilizo Bora—Jinsi Gani? 4/1

Kufundishwa na Yehova Hadi Siku Hii, 8/1

Kuishi kwa Kupatana na Wakfu Wetu “Kila Siku,” 3/1

Kujifunza Kupata Furaha Katika Kumhofu Yehova, 3/15

Kujiweka Wakfu—Kwa Nani? 3/1

Kumshinda Shetani na Kazi Zake, 1/1

Kuna Wakati Ujao Gani kwa Kondoo na Mbuzi? 10/15

Kunufaika kwa Usomaji wa Biblia Kila Siku, 5/1

Kuokolewa Kutoka “Kizazi Kiovu,” 11/1

Kutakuwa na Ufufuo wa Waadilifu, 2/15

Kwa Nini Umhofu Mungu wa Kweli Sasa? 10/15

Liwazo Kutoka kwa “Mungu wa Faraja Yote,” 6/1

Majiji ya Makimbilio—Uandalizi Wenye Rehema wa Mungu, 11/15

Manufaa za Kumhofu Mungu wa Kweli, 3/15

Mashahidi Dhidi ya Miungu Bandia, 9/1

Mashahidi Wakristo Kwa Ajili Ya Enzi Kuu ya Kimungu, 9/1

Mashahidi Wakristo Walio na Uraia wa Kimbingu, 7/1

Mimweko ya Nuru Katika Nyakati za Kimitume, 5/15

Mimweko ya Nuru—Mikubwa na Midogo (Sehemu za 1 na 2), 5/15

“Msiogope, Enyi Kundi Dogo,” 2/15

Mungu Hutangulizwa Katika Familia Yako? 10/1

Mwaliko Wenye Upendo kwa Wachovu, 8/15

Ni Nini Hukuchochea Kumtumikia Mungu? 6/15

“Nira Yangu Ni ya Fadhili na Mzigo Wangu Ni Mwepesi,” 8/15

Shangwe ya Yehova Ni Ngome Yetu, 1/15

Siku ‘Iwakayo Kama Tanuru,’ 4/15

Siku ya Yehova Yenye Kutia Hofu Iko Karibu, 4/15

Taifa Linaloshika Uaminifu wa Maadili, 1/1

Tujapohuzunika, Hatujakosa Tumaini, 6/1

Tumikia Yehova kwa Shangwe ya Moyo, 1/15

Umati Mkubwa Unatoa Utumishi Mtakatifu, 2/1

Umati Mkubwa wa Waabudu wa Kweli—Umetoka Wapi? 2/1

Upendo Hushinda Wivu Usiofaa, 9/15

Usife Moyo! 12/1

Utasimamaje Mbele ya Kiti cha Hukumu? 10/15

“Utumishi Mtakatifu Pamoja na Nguvu Zenu za Kufikiri,” 6/15

Wakaaji-Pamoja Katika “Bara” Lililorudishwa, 7/1

Wakati wa Kufuliza Kuwa Macho, 11/1

Wanawake Wakristo Wastahili Heshima na Staha, 7/15

Waokolewa Wakiwa Hai Kupitia Dhiki Kubwa, 2/15

“Watendaji wa Neno” Wenye Shangwe, 12/15

Wazazi na Watoto: Mtangulizeni Mungu! 10/1

Wewe Ni Mwenye Thamani Machoni pa Mungu! 4/1

Wivu Kwa Ajili Ya Ibada Safi ya Yehova, 9/15

Yehova Humpa Nguvu Mwenye Kuchoka, 12/1

Yehova—Mungu Afundishaye, 8/1

MAMBO MENGINE

Alikubali Mwelekezo wa Kimungu (Yusufu, Baba-Mlezi wa Yesu), 1/15

Alikuwa Mtangulizi wa Mesiya (Yohana Mbatizaji), 5/15

Barabara Iendayo Kwenye Uhuru, 9/1

Biashara Yako Itakugharimu Nini? 5/1

Chachu ya Mafarisayo na Masadukayo, 3/15

Chuki Itakoma Wakati Wowote? 6/15

Dini—Ni Mwiko Kuizungumza? 4/1

Dini Yako—Isiyopaswa Kuachwa? 2/1

Hofu—Imeenea Sasa Lakini Si Milele! 10/15

Hofu Itakwisha Lini? 8/15

Hofu—Rafiki au Adui? 10/15

Kuamuliwa Kimbele, 2/15

Kutakapokuwa Hakuna Maskini, 5/1

“Kweli Ni Nini?” 7/1

Kweli ya Kidini Yaweza Kupatikana? 4/15

Maimonidi—Yule Mtu Aliyefafanua Upya Dini ya Kiyahudi, 3/1

Maisha Bora Karibuni! 11/15

Maisha Mapya kwa Wazazi Wetu wa Kale, 5/15

Malaika, 11/1

Mchapishaji Aliyepata Sifa (Robert Estienne), 4/15

Miaka Hamsini ya Jitihada Zilizoshindwa (Umoja wa Mataifa), 10/1

Miungu ya Kike ya Uzaaji na Vita, 11/15

Mlima “Usongao” (Ireland), 4/15

Mtu Mwenye Husuda, 9/15

Mungu Ameamua Yatakayotupata? 2/15

Mungu Anatawala Ulimwengu? 7/15

Ni Desturi ya Ibada Isiyo na Maana? (Ungamo), 9/15

Nuru Yao Haikuzimika, 11/15

Nyakati Nzuri Zaidi Mbele Yetu, 8/1

Pokeo Lipinganapo na Kweli, 12/1

Tatizo la Kitheolojia (nafsi isiyoweza kufa), 3/1

Ubuni—Zawadi Kutoka kwa Mungu, 2/1

Uhai Ni Wenye Thamani Kadiri Gani Kwako? 1/15

Ulimwengu Usio na Ufisadi, 6/1

Ulimwengu Usio na Vita—Lini? 10/1

Utamsifu Yehova? 3/15

Utiaji-Damu Mishipani Wafikiriwa Tena, 8/1

Waamoni Waliorudisha Uhasama kwa Fadhili, 12/15

Wakaraite na Utafutaji Wao wa Kweli, 7/15

Wakathari—Je, Walikuwa Wakristo Wafia-Imani? 9/1

Wamasora, 9/15

Wanawake Ulimwenguni Pote, 6/15

Watawala Katika Makao ya Roho, 7/15

William Tyndale—Mwanamume Mwenye Busara, 11/15

Wivu, 9/15

Wivu Karibu Uharibu Maisha Yangu, 9/15

MASHAHIDI WA YEHOVA

Athens, Ugiriki, 10/15

Brazili, 7/15

“Hizo Pesa Hutoka Wapi?” 12/1

“Hofu ya Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya, 1/15

India, 9/15

Jamhuri ya Dominika, 2/15

Jumba la Ufalme Katika Niue, 12/15,

‘Kama tu Kila Mtu Angalikuwa Kama Wao!’ 9/1

Kesi Dhidi ya Mashahidi Yaamuliwa (Ugiriki), 12/15

Kukwea Mlima Mrefu Zaidi Kuliko Ile ya Himalaya (Nepal), 6/15

“Kutoka Kinywani mwa Watoto Wachanga,” 1/1

“Kuuza Chumvi” Katika Msumbiji, 4/15

“Mimi Ni Mwenye Thamani kwa Yehova!” 12/15

New Zealand, 11/15

Puerto Riko, 1/15

Singapore Yavunja Uhuru wa Ibada, 10/1

Sisi Hatustaafu! (Japani), 3/15

Sri Lanka, 8/15

Sweden, 5/15

Uhitimu wa Gileadi, 6/1, 12/1

Walifanya Hivyo kwa Sababu ya Upendo (nyumba ya mjane yarekebishwa), 10/15

Zambia, 3/15

MASIMULIZI YA MAISHA YA WATU

Hazina Yenye Thamani Kubwa ya Kushiriki (G. Malaspina), 1/1

Jambo Bora Zaidi la Kufanya na Maisha Yangu (B. Anderson), 3/1

Kufuatia Hatua za Wazazi Wangu (H. Padgett), 10/1

‘Kwa Kuwa Tuna Huduma Hii, Hatuachi’ (R. Taylor), 2/1

Mwenye Umri wa Miaka Mia Moja na Mwenye Nguvu (R. Mitchell), 12/1

Peke Yangu Lakini Sijaachwa Kamwe (A. Lewis), 7/1

Tulipewa Lulu ya Thamani ya Juu Sana (R. Gunther), 6/1

“Twatupwa Chini, Bali Hatuangamizwi” (U. Helgesson), 11/1

Uamuzi Wangu wa Kuendelea Kufikia Ukomavu (C. Dochow), 4/1

‘Upendo Haupungui Wakati Wowote’ (S. Ladesuyi), 9/1

Urithi Wetu wa Kiroho Wenye Thamani Kubwa (F. Smith), 8/1

Uvumilivu Huongoza Kwenye Maendeleo (J. Maglovsky), 5/1

MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI

“Jina lililo juu ya kila jina jingine” (Flp 2:9, NW), 11/15

“Katika pendo hamna hofu” (1Yoh 4:18), “iweni katika hofu ya Mungu” (1Pet 2:17, NW), 8/1

“Kizazi” (1Pet 2:9; Mt 24:34), 11/1

“Kondoo wengine” na “umati mkubwa” watofautiana? 4/15

Mariamu alikuwa na mimba alipokuwa akimzuru Elisabeti? 7/15

‘Msiwe waalimu wengi’ (Yak 3:1), 9/15

Mtazamo uonyeshwao kwenye ubatizo, 4/1

Mungu alionyesha upendeleo kwa kuwa baraza linaloongoza lilikuwa Wayahudi pekee? 7/1

“Roho” katika Wagalatia 6:8, 6/15

Wafilisti walikuwa nani? 2/1

Yesu ni kuhani wa cheo cha juu kwa “kondoo wengine” sasa? 6/1

WAPIGA-MBIU WA UFALME WARIPOTI

1/1, 2/1, 3/1, 4/1, 5/1, 7/1, 8/1, 9/1, 11/1, 12/1

YEHOVA

Sarafu Zenye Jina la Mungu, 5/15

YESU KRISTO

Mashaka Juu ya Yesu Yanastahili? 8/15

Miujiza ya Yesu, 3/1

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki