Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w18 Julai uku. 32
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Wazee, Hukumuni kwa Uadilifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
  • Sifa Zinazofaa Zinahitajiwa Kuhukumu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Wazee Litendeeni Kundi la Mungu kwa Wororo!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • Toba Inayorudisha Mtu Kwa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
w18 Julai uku. 32

Maswali Kutoka Kwa Wasomaji

Ikiwa watu wawili wa jinsia tofauti ambao hawajaoana watalala katika chumba kilekile usiku bila sababu zinazoeleweka, je, hilo lingeonwa kuwa dhambi inayostahili kuchukuliwa hatua ya kihukumu?

Magari mawili yakiwa yameegeshwa nje ya nyumba usiku

Baraza la wazee huchanganua kwa makini kila kisa ili kuamua ikiwa halmashauri ya hukumu inahitaji kuundwa. Kwa mfano: Je, Wakristo hao ni wachumba? Je, waliwahi kushauriwa kuhusu jinsi wanavyojiendesha wakiwa pamoja? Kwa nini walilala ndani ya chumba kilekile usiku? Je, walipanga mapema kufanya hivyo? Je, walikuwa na njia nyingine yoyote ya kushughulikia hali hiyo, au, sababu zozote zinazoeleweka, labda tukio lisilotazamiwa au hali fulani nzito ya dharura ambayo iliwalazimisha walale kwenye chumba kilekile usiku huo? (Mhu. 9:11) Walilala wapi? Kwa kuwa kila kisa ni tofauti, huenda kukawa na mambo mengine yanayohusika ambayo wazee watachunguza ili kufikia uamuzi.

Baada ya kupata habari kamili, baraza la wazee litaamua ikiwa jambo ambalo Wakristo hao wawili walifanya linapaswa kuchukuliwa hatua ya kihukumu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki