Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp19 Na. 3 uku. 16
  • Je, Watu Waliokufa Wataishi Tena?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Watu Waliokufa Wataishi Tena?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • BIBLIA INASEMA:
  • Tumaini la Ufufuo Ni Hakika!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Ule Ufalme na lile Tumaini la Ufufuo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Kutakuwa na Ufufuo wa Waadilifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Wapendwa Wako Wanaweza Kuwa Hai Tena!
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
wp19 Na. 3 uku. 16

Je, Watu Waliokufa Wataishi Tena?

Mwanasayansi mmoja aliyetajwa mwanzoni akiwa ameshika picha iliyo kwenye makala ya kwanza ya wenzi wa ndoa waliozeeka
Mwanasayansi mmoja aliyetajwa mwanzoni akiwa ameshika picha iliyo kwenye makala ya kwanza ya wenzi wa ndoa waliozeeka

Kila mmoja wetu ameathiriwa na kifo. Lakini je, kifo ndio mwisho wa mambo yote? Je, watu waliokufa wamesahaulika kabisa? Je, wataishi tena?

BIBLIA INASEMA:

WATU WALIOKUFA HAWAJASAHAULIKA

“Wote walio katika makaburi ya ukumbusho . . . [watatoka].”​—Yohana 5:28, 29.

Mungu anawakumbuka watu waliokufa; wale walio kwenye kumbukumbu yake wataishi tena.

KUTAKUWA NA UFUFUO HAPA DUNIANI

“Kutakuwa na ufufuo wa waadilifu na wasio waadilifu pia.”​—Matendo 24:15.

Mabilioni ya watu watarudishiwa uhai wakiwa na tumaini la kuishi milele katika dunia iliyojaa amani.

TUMAINI LA UFUFUO NI LA HAKIKA

“[Mungu] huhesabu idadi ya nyota; zote anaziita kwa majina.”—Zaburi 147:4.

Kwa kuwa Mungu anajua majina ya nyota zote, bila shaka ni rahisi kwake kuwakumbuka watu ambao atawafufua.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki