Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/89 uku. 8
  • Sanduku la Swali

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sanduku la Swali
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1989
  • Habari Zinazolingana
  • Anwani za Ofisi za Tawi
    Huduma Yetu ya Ufalme—1992
  • Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita
    Amkeni!—2000
  • Kudumisha Umoja wa Kikristo Katika Mahusiano ya Kibiashara
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • ‘Vuka Uende Makedonia Ukasaidie’
    Huduma Yetu ya Ufalme—1996
Pata Habari Zaidi
Huduma Yetu ya Ufalme—1989
km 5/89 uku. 8

Sanduku la Swali

● Je! inafaa kuandikia Sosaiti au ofisi za tawi zayo ili kupata anwani za watu ambao ungependa kuandikiana barua nao kuhusu biashara na mambo mengine ya kibinafsi?

Anwani zote zilizomo katika faili za Sosaiti au katika faili za kundi ni za siri na haziwezi kutolewa kwa utumizi wa kibinafsi. Kwa hiyo, mtu yeyote asiandikie Sosaiti au ofisi za tawi zayo akiomba habari hiyo.

Lazima kundi likazie fikira kusudi lalo na kazi inayohusu kujiweka kwetu wakfu kwa Yehova kwa nafsi nzima na kufanya mapenzi yake. Sosaiti wala kundi halitajiingiza kutegemeza au kuendeleza utendaji wa kibiashara. Mambo kama hayo yanapasa kuonwa kuwa ya kibinafsi kabisa, utendaji wa kibiashara wa mtu mwenyewe. Wahubiri ambao wanataka kuwasiliana na akina ndugu katika majiji mengine au hata nchi za ng’ambo yawapasa wajitafutie wenyewe njia ya kufanya hivyo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki