Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 2/99 uku. 3
  • Habari za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1999
  • Habari Zinazolingana
  • Barua Kutoka Ofisi ya Tawi
    Huduma ya Ufalme—2006
  • Kampeni ya Pekee Nchini Bulgaria Yafanikiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—1999
  • Kampeni ya Pekee Oktoba 16–Novemba 12!
    Huduma ya Ufalme—2006
Pata Habari Zaidi
Huduma Yetu ya Ufalme—1999
km 2/99 uku. 3

Habari za Kitheokrasi

◼ Hivi majuzi Jumba la Ufalme la Mbeya-Iyunga liliwekwa wakfu.

◼ Mashahidi wa Yehova walisajiliwa kisheria katika Bulgaria mnamo Oktoba 7, 1998. Twashiriki pamoja na wahubiri 946 huko kumpa Yehova shukrani kwa jambo hilo.

◼ Mnamo Oktoba 12, 1998, serikali ya Latvia iliidhinisha kusajiliwa kwa makutaniko 2 ya kwanza kati ya yale 21 yaliyo katika nchi hiyo.

◼ Kujapokuwa upinzani, ndugu katika Ufaransa wanavumilia katika kazi yao ya kuhubiri Ufalme. Katika Novemba na Desemba, kampeni ya kuvuta uangalifu wa nchi hiyo kwenye Biblia ilikazia ugawanyaji wa pekee wa broshua Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote. Wanabetheli 50 hivi walihama kutoka Ufaransa hadi Uingereza kusaidia katika kazi za uchapaji na upakizi kwenye ofisi ya tawi, huku washiriki wale wengine 250 wa Betheli ya Ufaransa na ndugu walioko shambani wakiendelea kutumikia kwa shangwe chini ya hali za kawaida.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki