Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/09 uku. 4
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 2
  • Huduma ya Ufalme—2009
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA NOVEMBA 2
Huduma ya Ufalme—2009
km 10/09 uku. 4

Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 2

JUMA LINALOANZA NOVEMBA 2

Wimbo 115

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

lv sura ya 12 ¶1-8

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Kumbukumbu la Torati 14-18

Na. 1: Kumbukumbu la Torati 15:1-15

Na. 2: Kumwogopa Mungu Kunahusisha Nini?

Na. 3: Mungu Amkumbuka Mwana Wake (lr sura ya 39)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 1

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 10: Kuanzisha Mafunzo ya Biblia. Mazungumzo pamoja na wasikilizaji. Waombe wahubiri uliowateua wasimulie mambo yaliyoonwa kuhusu kuanzisha mafunzo ya Biblia katika siku iliyoteuliwa kwa ajili ya utendaji huu muhimu. Tangaza siku ambayo imeteuliwa kwa ajili ya kuwatolea watu funzo la Biblia, na upange onyesho moja au mawili kuhusu jinsi ya kufanya hivyo.

Dak. 10: Mahitaji ya kwenu.

Dak. 10: Kuhubiri kwa Kutumia Barua. Mazungumzo pamoja na wasikilizaji yakitegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 71-73.

Wimbo 9

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki