Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 6/11 uku. 3
  • Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 6/11 uku. 3

Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

Maswali yafuatayo yatazungumziwa katika Shule ya Huduma ya Kitheokrasi juma linaloanza Juni 27, 2011. Mwangalizi wa shule ataongoza pitio la dakika 20 linalotegemea habari zilizozungumziwa katika hotuba ambazo zilitolewa kuanzia juma la Mei 2 hadi Juni 27, 2011.

1. Tunajifunza nini kutokana na agizo ambalo Yehova alimpa Ayubu la kuwaombea watu waliomtenda vibaya? (Ayu. 42:8) [w98 8/15 uku. 30 fu. 5]

2. “Dhabihu za uadilifu” ambazo Wakristo wanatoa katika siku zetu ni nini? (Zab. 4:5) [w06 5/15 uku. 18 fu. 9]

3. Figo za Daudi zilimrekebisha kwa njia gani? (Zab. 16:7) [w04 12/1 uku. 14 fu. 9]

4. “Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu” jinsi gani? (Zab. 19:1) [w04 10/1 uku. 10 fu. 8]

5. Andiko la Zaburi 27:14 linakazia uhusiano gani kati ya tumaini na uhodari? [w06 10/1 uku. 26-27 fu. 3, 6]

6. Maneno ya Zaburi 37:21 yanapaswa kutuongoza jinsi gani katika shughuli zetu pamoja na ndugu zetu na uhusiano wetu pamoja nao? [w88 8/15 uku. 17 fu. 8]

7. Tunajifunza nini kuhusu uthamini kutokana na kisa cha Mlawi fulani aliyekuwa uhamishoni? (Zab. 42:1-3) [w06 6/1 uku. 9 fu. 3]

8. Ni nini kinachoweza kutusaidia kupenda uadilifu na kuchukia uovu? (Zab. 45:7) [cf uku. 58-59 fu. 8-10]

9. Daudi aliomba ategemezwe kwa “roho ya kupenda” ya nani? (Zab. 51:12) [w06 6/1 uku. 9 fu. 10]

10. Tunaweza kuwa kama mzeituni katika nyumba ya Mungu jinsi gani? (Zab. 52:8) [w00 5/15 uku. 29 fu. 6]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki