Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 6/11 uku. 3
  • “Inafaa Kuripoti Muda Gani?”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Inafaa Kuripoti Muda Gani?”
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Habari Zinazolingana
  • Wahudumu wa Habari Njema
    Tengenezo Linalofanya Mapenzi ya Yehova
  • Tumia Wakati Wako kwa Matokeo
    Huduma Yetu ya Ufalme—1999
  • Ripoti Utumishi wa Shambani kwa Usahihi
    Huduma Yetu ya Ufalme—1988
  • Je! Mungu Anakuhesabu Wewe Kuwa Mtu wa Maana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
Pata Habari Zaidi
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 6/11 uku. 3

“Inafaa Kuripoti Muda Gani?”

Umewahi kujiuliza swali hilo? Mwongozo unapatikana katika kitabu Tengenezo, ukurasa wa 86-87. Habari zaidi hutolewa mara kwa mara, kama vile katika Sanduku la Swali la Huduma Yetu ya Ufalme ya Septemba 2008. Kwa kuwa hali hutofautiana, hatujapewa orodha ndefu ya maagizo. Hivyo basi, haifai wazee au wahubiri wengine kutoa maagizo zaidi.

Iwapo swali linazuka na hakuna mwongozo uliochapishwa kuhusiana na swali hilo, kila mhubiri anaweza kujiuliza: Je, wakati huo ulitumiwa katika huduma? Au ulitumiwa katika shughuli nyingine ambayo si sehemu ya huduma? Ripoti ya huduma ya shambani tunayotoa kila mwezi inapaswa kutupa shangwe na si kutuacha na dhamiri isiyo safi. (Mdo. 23:1) Jambo muhimu si kuzingatia muda ambao tunaripoti, bali kuhakikisha kwamba tumehubiri kwa bidii muda huo.—Ebr. 6:11.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki