Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 8/11 uku. 1
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 8
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA AGOSTI 8
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 8/11 uku. 1

Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 8

JUMA LINALOANZA AGOSTI 8

Wimbo 44 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 7 ¶14-18, masanduku kwenye uku. 57-58 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Zaburi 92-101 (Dak. 10)

Na. 1: Zaburi 94:1-23 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Ufalme wa Mungu Utawaandalia Wanadamu Wote Chakula na Kuondoa Magonjwa—rs uku. 315 ¶1-3 (Dak. 5)

Na. 3: Jilinde Dhidi ya Nguvu za Udanganyifu wa Utajiri—Mt. 13:22 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 94

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 10: Mwonyeshe Mwenye Nyumba Upendezi. Hotuba inayotegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 186-187. Panga onyesho moja au mawili mafupi kuhusu jinsi ya kutumia habari hiyo.

Dak. 10: Mambo Yaliyoonwa Wakati wa Kuanzisha Mafunzo ya Biblia. Mazungumzo. Yashughulikiwe na mwangalizi wa utumishi. Wapongeze akina ndugu kwa kuunga mkono mpango wa kuanzisha mafunzo ya Biblia katika Jumamosi ya kwanza ya mwezi. Waombe wasikilizaji waeleze mambo waliyofurahia. Jambo moja au mawili yenye kupendeza yanaweza kuigizwa.

Dak. 10: “Jina la Mungu na Litakaswe.” Maswali na majibu. Tangaza tarehe za kusanyiko la mzunguko iwapo zinajulikana.

Wimbo 112 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki