Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/12 uku. 4
  • Ratiba ya Juma Februari 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Februari 6
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2012
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA FEBRUARI 6
Huduma Yetu ya Ufalme—2012
km 1/12 uku. 4

Ratiba ya Juma Februari 6

JUMA LINALOANZA FEBRUARI 6

Wimbo 101 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 16 ¶8-12, sanduku kwenye uku. 132 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Isaya 47-51 (Dak. 10)

Na. 1: Isaya 51:1-11 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Arusi ya Kwanza Ilihusisha Utaratibu Gani wa Kisheria?—rs uku. 227 ¶2-3 (Dak. 5)

Na. 3: Kwa Nini Mungu Mwenye Upendo Amharibu Mwanadamu Yeyote?—2 Thes. 1:6-9 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 36

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 10: Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Vituo vya Mawasiliano Kwenye Intaneti?​—Sehemu ya 2. Hotuba inayotegemea Amkeni! ya Agosti 2011 ukurasa wa 10-13 na Amkeni! ya Februari 2012 ukurasa wa 8-9.

Dak. 10: Mahitaji ya kutaniko.

Dak. 10: Mapendekezo ya Kutoa Magazeti Mwezi wa Februari. Mazungumzo. Tumia dakika moja au mbili kukazia baadhi ya makala ambazo zinaweza kuwavutia watu katika eneo lenu. Kisha ukitumia makala za kwanza kwenye Mnara wa Mlinzi, waombe wasikilizaji wapendekeze swali lenye kuamsha fikira ambalo wanaweza kuwauliza wenye nyumba. Waombe pia wapendekeze maandiko wanayoweza kuwasomea. Fanya vivyo hivyo ukitumia makala za kwanza za Amkeni! na wakati ukiruhusu, zungumzia makala nyingine moja kutoka kwenye gazeti lolote kati ya magazeti hayo mawili. Panga maonyesho kuhusu jinsi kila gazeti linavyoweza kutolewa.

Wimbo 96 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki