Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/12 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 19
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2012
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MACHI 19
Huduma Yetu ya Ufalme—2012
km 3/12 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 19

JUMA LINALOANZA MACHI 19

Wimbo 11 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 18 ¶6-11 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Yeremia 8-11 (Dak. 10)

Na. 1: Yeremia 10:17–11:5 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Ukumbusho Una Umuhimu Gani?—rs uku. 336 ¶6–uku. 337 ¶2 (Dak. 5)

Na. 3: Mkate na Divai Ambazo Hutumiwa Kwenye Ukumbusho Humaanisha Nini?—rs uku. 337 ¶3–uku. 338 ¶1 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 21

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 15: Tunajifunza Nini? Mazungumzo. Omba msikilizaji mmoja au zaidi wasome Mathayo 6:19-34. Zungumzia jinsi maandiko hayo yanavyoweza kutusaidia katika huduma yetu.

Dak. 15: “Toa Ushahidi Katika Eneo la Biashara kwa Ujasiri.” Maswali na majibu. Mhoji mhubiri ambaye amepata matokeo mazuri kwa kuhubiri katika eneo la biashara.

Wimbo 108 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki