Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/13 uku. 1
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 11
  • Huduma ya Ufalme—2013
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA NOVEMBA 11
Huduma ya Ufalme—2013
km 11/13 uku. 1

Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 11

JUMA LINALOANZA NOVEMBA 11

Wimbo 119 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

jl Somo la 5-7 (Dak. 30)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Waebrania 1-8 (Dak. 10)

Na. 1: Waebrania 4:1-16 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Tunaweza Kuonyeshaje Kwamba Tuna “Hekima Inayotoka Juu”?—Yak. 3:17, 18 (Dak. 5)

Na. 3: Je, Kumpenda Jirani Ndilo Jambo la Maana?—rs uku. 63 ¶6 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 73

Dak. 10: Jinsi Tunavyoweza Kuwasaidia Wenye Uhitaji. Hotuba itolewe na mzee ikitegemea gazeti la Mnara wa Mlinzi la Novemba 15, 2013, ukurasa wa 8-9.

Dak. 10: Tunawezaje Kukabiliana na Wasiwasi Tunapohubiri? Mazungumzo yanayotegemea maswali yafuatayo: (1) Sala inaweza kutusaidiaje ikiwa tuna wasiwasi kabla ya kugonga mlango wa mwenye nyumba? (2) Kwa nini kujiandaa vizuri kunatusaidia kupunguza wasiwasi? (3) Ni nini kinachoweza kutusaidia tusiwe na wasiwasi sana tunapohubiri na mwangalizi wa mzunguko? (4) Kwa nini wasiwasi hupungua kadiri tunavyoshiriki mara nyingi zaidi katika huduma? (5) Ni nini kimekusaidia kukabiliana na wasiwasi?

Dak. 10: “Wachukueni Manabii Kuwa Kielelezo—Hosea.” Maswali na majibu.

Wimbo 113 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki