Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Mei uku. 4
  • Ili Tuwe na Amani na Yehova Lazima Tumbusu Mwana Wake, Yesu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ili Tuwe na Amani na Yehova Lazima Tumbusu Mwana Wake, Yesu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • “Agizo la Yehova” Haliwezi Kushindwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Heshimu Yehova, Kwa Nini Na Kwa Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Heshimu Yule Mwana, Wakili Mkuu Wa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Kuheshimu Yule Mungu wa Tumaini
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Mei uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 1-10

Ili Tuwe na Amani na Yehova Lazima Tumbusu Mwana Wake, Yesu

Chuki dhidi ya Yehova na Yesu ilitabiriwa mapema

2:1-3

Mfalme wa Kimasihi, Yesu Kristo, ameketi kwenye kiti chake cha ufalme akiwa na fimbo ya enzi mkononi mwake
  • Ilitabiriwa kwamba mataifa yangekataa mamlaka ya Yesu bali yangesisitiza mamlaka ni yao

  • Unabii huo ulitimizwa Yesu alipokuwa duniani na unatimizwa kwa njia kubwa zaidi leo

  • Mtunga-zaburi anasema kwamba mataifa yanasema jambo la upuuzi, kumaanisha kwamba kusudi lao ni la bure na halitafanikiwa

Wale tu wanaomheshimu Mfalme mtiwa-mafuta wa Yehova ndio watakaopata uzima

2:8-12

  • Wote wanaompinga Mfalme wa Kimasihi wataangamizwa

  • Kwa kumbusu Mwana, au kuheshimu mamlaka ya Yesu, mtu anaweza kupata usalama na amani

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki