Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Mei uku. 5
  • Ni Nani Atakayekuwa Mgeni Katika Hema la Yehova?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Nani Atakayekuwa Mgeni Katika Hema la Yehova?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Endelea Kuwa Mgeni wa Yehova Milele!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Mwaliko wa Pekee wa Yehova wa Kuwa Wageni Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Je! Wewe Ni Mgeni Mwenye Busara?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Linda Dhidi Porojo Zenye Kudhuru!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Mei uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 11-18

Ni Nani Atakayekuwa Mgeni Katika Hema la Yehova?

Kuwa mgeni katika hema la Yehova kunamaanisha kwamba mtu ni rafiki ya Mungu, anamtegemea, na kumtii. Zaburi 15 inaeleza aina ya rafiki ambaye Yehova anakubali.

MGENI WA YEHOVA LAZIMA . . .

  • awe mtimilifu

  • aseme kweli, hata katika moyo wake

  • awaheshimu watumishi wenzake wa Yehova

  • atimize ahadi, hata chini ya hali ngumu

  • awasaidie wenye uhitaji bila kutarajia malipo

MGENI WA YEHOVA ANAEPUKA . . .

  • porojo na uchongezi

  • kumfanyia mwenzake jambo lolote baya

  • kuwatumia vibaya ndugu zake Wakristo

  • kushirikana na wale ambao hawamtumikii wala kumtii Yehova

  • kuchukua rushwa

Hema
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki