Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Novemba uku. 8
  • Msichana Mshulami​—Mfano Unaofaa Kuigwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msichana Mshulami​—Mfano Unaofaa Kuigwa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Mfano wa Kuigwa—Mshulami
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Kitabu Cha Biblia Namba 22—Wimbo Ulio Bora
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Upendo Thabiti wa Msichana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Wimbo wa Sulemani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Novemba uku. 8

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WIMBO WA SULEMANI 1-8

Msichana Mshulami​—Mfano Unaofaa Kuigwa

Ni nini kinachomfanya awe mfano bora kwa waabudu wa Yehova?

2:7; 4:12

Msichana Mshulami akiwa na binti za Yerusalemu
  • Kwa hekima alisubiri hadi alipopata upendo wa kweli

  • Alikataa kuwaruhusu wengine wamshinikize kusitawisha upendo wa kimahaba kumwelekea mtu yeyote tu

  • Alikuwa mnyenyekevu, mwenye kiasi, na safi kiadili

  • Alikataa kushawishiwa na dhahabu au maneno ya kumrairai

Jiulize:

‘Ni sifa gani ya msichana Mshulami ninayoweza kujitahidi zaidi kuiga?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki