Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Novemba uku. 8
  • Novemba 28–Desemba 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 28–Desemba 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Novemba uku. 8

Novemba 28–Desemba 4

WIMBO WA SULEMANI 1-8

  • Wimbo 106 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Msichana Mshulami—Mfano Unaofaa Kuigwa”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Wimbo wa Sulemani.]

    • Wim 2:7; 3:5—Msichana Mshulami aliazimia kumsubiri yule ambaye alimpenda kikweli (w15 1/15 31 ¶11-13)

    • Wim 4:12; 8:8-10—Alidumisha usafi wa maadili na ushikamanifu alipokuwa akimsubiri (w15 1/15 32 ¶14-16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Wim 2:1—Ni sifa zipi zilizofanya Mshulami awe mrembo zaidi? (w15 1/15 31 ¶13)

    • Wim 8:6—Kwa nini upendo wa kweli unafafanuliwa kuwa “mwali wa moto wa Yah”? (w15 1/15 29 ¶3; w06 11/15 20 ¶7)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Wim 2:1-17

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) bh—Tumia video Kwa Nini Ujifunze Biblia? ili kumtolea mwenye-nyumba kitabu. (Taarifa: Usionyeshe video wakati wa sehemu hii.)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) bh—Mkaribishe mwenye-nyumba kwenye mikutano.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 29-31 ¶8-9

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 115

  • “Vijana Huuliza—Je, Niko Tayari Kuanzisha Urafiki wa Kimapenzi?”: (Dak. 9) Hotuba inayotegemea makala yenye kichwa “Vijana Huuliza—Je, Niko Tayari Kuanzisha Urafiki wa Kimapenzi?”

  • Je, Huu Ni Upendo wa Kweli?: (Dak. 6) Onyesha na mzungumzie video ya vibonzo kwenye ubao yenye kichwa Je, Huu Ni Upendo wa Kweli?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 4 ¶16-23, sanduku “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 34 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki