Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Juni uku. 6
  • Juni 25–Julai 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 25–Julai 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Juni uku. 6

Juni 25–Julai 1

LUKA 4-5

  • Wimbo 37 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Pinga Vishawishi Kama Yesu Alivyofanya”: (Dak. 10)

    • Lu 4:1-4​—Yesu hakushindwa na tamaa ya mwili (w13 8/15 25 ¶8)

    • Lu 4:5-8​—Yesu hakuvutiwa na tamaa ya macho (w13 8/15 25 ¶10)

    • Lu 4:9-12​—Yesu hakukubali kujionyesha [Onyesha video Mnara wa Hekalu.] (“Mnara wa Hekalu” video Lu 4:9, nwtsty; w13 8/15 26 ¶12)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 4:17​—Ni nini kinachoonyesha kwamba Yesu alifahamu kabisa Neno la Mungu? (“kitabu cha kukunjwa cha nabii Isaya” habari za utafiti Lu 4:17, nwtsty)

    • Lu 4:25​—Ukame katika siku za Eliya uliendelea kwa muda gani? (“kwa miaka mitatu na miezi sita” habari za utafiti Lu 4:25, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 4:31-44

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya JW.ORG.

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko, na utoe chapisho la funzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) jl somo la 28

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 28

  • “Epuka Mitego ya Mitandao ya Kijamii”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Tumia Mitandao ya Kijamii kwa Hekima.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 26

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 105 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki