Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Juni uku. 6
  • Pinga Vishawishi Kama Yesu Alivyofanya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pinga Vishawishi Kama Yesu Alivyofanya
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Usiupende Ulimwengu au Vitu Vilivyo Katika Ulimwengu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Fikiria Unapaswa Kuwa Mtu Wa Namna Gani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Penda Uadilifu, Chukia Uasi Sheria
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Ninaweza Kupinga Vishawishi Jinsi Gani?
    Vijana Huuliza
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Juni uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 4-5

Pinga Vishawishi Kama Yesu Alivyofanya

Shetani anajaribu kuvunja ushikamanifu wetu kwa Yehova kwa kupotosha tamaa za moyo wetu. Anabadili mbinu zake kwa kutegemea mwelekeo na hali za kila mtu.

Yesu alitumia silaha gani yenye nguvu kupinga vishawishi vitatu vya kawaida? (Ebr 4:12; 1Yo 2:15, 16) Ninaweza kuigaje mfano wake?

  • Yesu akataa kugeuza mawe kuwa mkate

    4:1-4

    “Tamaa ya mwili”

  • Yesu akipinga kishawishi cha Ibilisi cha kumpa falme zote za ulimwengu

    4:5-8

    “Tamaa ya macho”

  • Yesu akiwa juu ya mnara wa hekalu

    4:9-12

    “Mtu kujionyesha”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki