HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAEBRANIA 1-3
Penda Uadilifu, Chukia Uasi Sheria
Yesu anapenda uadilifu na anachukia kitu chochote ambacho kinaweza kumvunjia Baba yake heshima.
Tunaweza kumwigaje Yesu kwa kupenda uadilifu. . .
tunapokabili vishawishi vya upotovu wa maadili?
mshiriki wa familia anapotengwa na ushirika?