Septemba 16-22
WAEBRANIA 11
Wimbo 119 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Imani Ni Sifa Muhimu Sana”: (Dak. 10)
Ebr 11:1—Imani ni nini? (w16.10 27 ¶6)
Ebr 11:6—Lazima tuwe na imani ili tumpendeze Mungu (w13 11/1 11 ¶2-5)
Ebr 11:33-38—Imani iliwasaidia watumishi wa Mungu wakabiliane na hali ngumu zamani (w16.10 23 ¶10-11)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Ebr 11:4—Imani ya Abeli ilitegemea nini? (it-1 804 ¶5)
Ebr 11:5—Imani ya Enoko ilithawabishwaje? (wp17.1 12-13)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ebr 11:1-16 (th somo la 10)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 3)
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mpe mwenye nyumba mwaliko wa kuhudhuria mikutano na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video). (th somo la 11)
MAISHA YA MKRISTO
“Utafanya Nini Katika Mwaka wa Ukame?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 84
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 54 na Sala