Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Septemba uku. 8
  • Utafanya Nini Katika Mwaka wa Ukame?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utafanya Nini Katika Mwaka wa Ukame?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza Kuwatumaini Ndugu Zako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Kuwatumaini Wengine Ni Muhimu kwa Maisha Yenye Furaha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Fanya Yehova Awe Itibari Yako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Mtegemee Yehova Kadiri Mwisho Unavyokaribia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Septemba uku. 8
Mti uliopandwa kando maji ukizaa matunda

MAISHA YA MKRISTO

Utafanya Nini Katika Mwaka wa Ukame?

Tunahitaji kuwa na imani na kumtegemea Yehova sana. Kwa mfano, imani yenye nguvu katika Yehova hutusaidia kumtegemea tukiwa na uhakika kwamba atatulinda na kututunza. (Zb 23:1, 4; 78:22) Kadiri tunavyozidi kukaribia mwisho wa mfumo huu wa mambo, ndivyo tunavyotarajia kwamba Shetani atazidisha mashambulizi yake. (Ufu 12:12) Ni nini kitakachotusaidia?

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA UTAFANYA NINI KATIKA MWAKA WA UKAME? KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  1. Kwa nini sisi ni kama “mti” unaotajwa kwenye Yeremia 17:8?

  2. Taja aina moja ya “joto”?

  3. “Mti” huo unaathiriwaje, na kwa nini?

  4. Shetani anataka kuharibu nini?

  5. Kwa nini sisi ni kama marubani wenye uzoefu?

  6. Kwa nini tunapaswa kuendelea kumtumaini mtumwa mwaminifu na mwenye busara, na ushikamanifu wetu utajaribiwaje?

  7. Kwa nini tunapaswa kuendelea kutegemea kanuni za Biblia hata tunapodhihakiwa na ulimwengu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki