Januari 6-12
MWANZO 1-2
Wimbo 11 na Sala
Utangulizi (Dak. 1)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Yehova Aumba Uhai Duniani”: (Dak. 10)
[Onyesha video ya Utangulizi wa Mwanzo.]a
Mwa 1:3, 4, 6, 9, 11—Siku ya kwanza hadi ya tatu ya uumbaji (it-1 527-528)
Mwa 1:14, 20, 24, 27—Siku ya nne hadi ya sita ya uumbaji (it-1 528 ¶5-8)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 1:1-19 (th somo la 5)
BORESHA HUDUMA YAKO
Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kuonyesha Wasikilizaji Manufaa ya Habari Unayozungumzia, kisha mzungumzie somo la 13 la broshua Kufundisha.
Hotuba: (Isizidi dak. 5) w08 2/1 5—Kichwa: Kujua Kwamba Tuliumbwa Kunatupatia Amani ya Akili. (th somo la 11)
MAISHA YA MKRISTO
“Je, Unaweza Kuwaeleza Wengine Kuhusu Imani Yako?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Mtaalamu wa Mifupa Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu na Mtaalamu wa Wanyama Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 98
Umalizio (Usizidi dak. 3)
Wimbo 18 na Sala
a Ufupisho wa machapisho: bhs = Biblia Inatufundisha Nini; fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; ll = Msikilize Mungu Uishi Milele; it = Insight on the Scriptures; w = Mnara wa Mlinzi; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; mwb = Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha; km = Huduma Yetu ya Ufalme