Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 2
  • Dumisha Usafi wa Maadili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dumisha Usafi wa Maadili
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Endelea Kuonyesha Unampenda Yehova Kadiri Gani
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Sherehe Zilizo na Maana Kwetu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Yehova Amewatenga Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 2
Mume na baba akigeuka mara moja na kuifunga kompyuta yake kwa sababu ya kuchukizwa na kile alichoona.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Dumisha Usafi wa Maadili

Yehova anatarajia tutende kwa njia tofauti na watu katika ulimwengu (Law 18:3; w19.06 28 ¶1)

Yehova anashutumu dhambi kama vile kufanya ngono na watu wa ukoo, watu wa jinsia moja, na kufanya ngono na wanyama (Law 18:6, 22, 23; w17.02 20 ¶13)

Yehova atauharibu ulimwengu huu mchafu (Law 18:24, 25; Met 2:22; w14 7/1 7 ¶2)

Shetani hataki tuingie katika ulimwengu mpya wa Mungu. Lakini kanuni za Yehova zinaweza kutulinda dhidi ya mtego wowote wa Shetani.

Tunaweza kumwonyeshaje Yehova kwamba tunachukia upotovu wa maadili?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki