Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 4
  • Septemba 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 4

Septemba 18-24

ESTA 6-8

  • Wimbo 115 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mfano Unaofaa wa Mawasiliano Mazuri”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Est 7:4—Kuangamizwa kwa Wayahudi kungemleteaje “mfalme hasara”? (w06 3/1 11 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Est 8:​9-17 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye nyumba kwenye mikutano, kisha toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 12)

  • Hotuba: (Dak. 5) w22.01 10-11 ¶8-10—Kichwa: Uwe Mwalimu Bora Kama Yakobo—Fundisha kwa Njia Rahisi. (th somo la 17)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 148

  • “Mtegemee Yehova Unaposhughulika na Mtu Anayekuonea”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 58

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 124 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki