Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Julai kur. 6-7
  • Julai 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Julai kur. 6-7

JULAI 21-27

METHALI 23

Wimbo 97 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Kanuni Zenye Hekima Kuhusu Matumizi ya Kileo

(Dak. 10)

Ikiwa utaamua kutumia kileo, usinywe kupita kiasi (Met 23:​20, 21; w04 12/1 19 ¶5-6)

Kumbuka matokeo mabaya ya ulevi (Met 23:​29, 30, 33-35; it-1 656)

Usidanganywe na mwonekano wa pombe ukahisi haina madhara (Met 23:​31, 32)

Dada akiwa ameketi kwenye sofa huku akiitazama chupa ya kileo.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 23:21—Kuna tofauti gani kati ya ulafi na kunenepa kupita kiasi? (w04 11/1 31 ¶2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 23:​1-24 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. (lmd somo la 3 jambo kuu la 5)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 5) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwonyeshe jinsi funzo la Biblia linavyoongozwa. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) Mtie moyo mwanafunzi wako anayepambana ili kuacha zoea lisilo la kimaandiko. (lmd somo la 12 jambo kuu la 4)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 35

7. Je, Niandae au Nisiandae Kileo?

(Dak. 8) Mazungumzo.

Mtu anapopanga tafrija kama vile harusi, je, anapaswa kuweka kileo? Huo ni uamuzi wa kibinafsi, lakini uamuzi huo unapaswa kufanywa kwa makini baada ya kufikiria kanuni mbalimbali za Biblia na mambo mengine muhimu yanayohusika.

Ndugu na dada wanaotarajia kufunga ndoa wakijadiliana ili kuamua ikiwa wataandaa kileo kwa ajili ya sherehe yao ya harusi. Mezani kuna Biblia iliyofunguliwa pamoja na tablet inayoonyesha chupa mbalimbali za divai.

Onyesha VIDEO Je Niandae Kileo? Kisha waulize wasikilizaji:

  • Kanuni zifuatazo za Biblia zinawezaje kumsaidia mtu kuamua ikiwa ataandaa au hataandaa kileo?

    • Yoh 2:9—Yesu alibadili maji kuwa divai katika sherehe ya harusi.

    • 1Ko 6:10—“Walevi . . . hawataurithi Ufalme wa Mungu.”

    • 1Ko 10:​31, 32—“Iwe mnakula au mnakunywa . . . ,fanyeni mambo yote kwa utukufu wa Mungu. Epukeni kuwa vikwazo.”

  • Ni baadhi ya hali gani unazopaswa kufikiria?

  • Ili kufanya maamuzi mazuri, kwa nini ni lazima tutumie “nguvu [zetu] za kufikiri” ili kuwa na usawaziko kuhusu kanuni mbalimbali za Biblia?—Ro 12:1; Mhu 7:​16-18

8. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 7)

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 2, utangulizi wa sehemu ya 2, na somo la 3

Umalizio (Dak 3 .) | Wimbo 40 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki