1
2
Yoshua atuma wapelelezi wawili Yeriko (1-3)
Rahabu awaficha wapelelezi (4-7)
Rahabu apewa ahadi (8-21a)
Wapelelezi warudi kwa Yoshua (21b-24)
3
4
5
Waisraeli watahiriwa kule Gilgali (1-9)
Sherehe ya Pasaka; mwisho wa mana (10-12)
Mkuu wa jeshi la Yehova (13-15)
6
7
Waisraeli washindwa kule Ai (1-5)
Sala ya Yoshua (6-9)
Dhambi yasababisha Waisraeli washindwe (10-15)
Akani afichuliwa na kupigwa mawe (16-26)
8
9
Wagibeoni wajanja watafuta amani (1-15)
Hila ya Wagibeoni yagunduliwa (16-21)
Wagibeoni watakuwa watekaji wa maji na wakusanyaji wa kuni (22-27)
10
Waisraeli wawatetea Wagibeoni (1-7)
Yehova awapigania Waisraeli (8-15)
Wafalme watano wa maadui wauawa (16-28)
Majiji ya kusini yatekwa (29-43)
11
12
13
Maeneo ambayo hayajatekwa (1-7)
Kugawanywa kwa maeneo mashariki mwa Yordani (8-14)
Urithi wa kabila la Rubeni (15-23)
Urithi wa kabila la Gadi (24-28)
Urithi wa kabila la Manase upande wa mashariki (29-32)
Yehova ni urithi wa Walawi (33)
14
15
16
17
18
19
Urithi wa kabila la Simeoni (1-9)
Urithi wa kabila la Zabuloni (10-16)
Urithi wa kabila la Isakari (17-23)
Urithi wa kabila la Asheri (24-31)
Urithi wa kabila la Naftali (32-39)
Urithi wa kabila la Dani (40-48)
Urithi wa Yoshua (49-51)
20
21
22
Makabila ya mashariki yarudi nyumbani (1-8)
Madhabahu yajengwa karibu na Yordani (9-12)
Kusudi la madhabahu laelezwa (13-29)
Mgogoro wasuluhishwa (30-34)
23
24
Yoshua awakumbusha Waisraeli historia yao (1-13)
Awahimiza wamtumikie Yehova (14-24)
Yoshua afanya agano na Waisraeli (25-28)
Yoshua afa na kuzikwa (29-31)
Mifupa ya Yosefu yazikwa Shekemu (32)
Eleazari afa na kuzikwa (33)