1
2
Eliya apelekwa juu katika dhoruba ya upepo (1-18)
Elisha ayaponya maji ya Yeriko (19-22)
Dubu wawaua wavulana kutoka Betheli (23-25)
3
Yehoramu, mfalme wa Israeli (1-3)
Wamoabu wawaasi Waisraeli (4-25)
Wamoabu washindwa (26, 27)
4
Elisha afanya mafuta ya mjane yaongezeke (1-7)
Ukarimu wa mwanamke Mshunamu (8-16)
Mwanamke huyo athawabishwa kwa kupewa mwana; mwana huyo afa (17-31)
Elisha amfufua mwana huyo (32-37)
Elisha aufanya mchuzi unyweke (38-41)
Elisha afanya mikate iongezeke (42-44)
5
6
Elisha afanya shoka lielee (1-7)
Elisha apambana na Wasiria (8-23)
Macho ya mtumishi wa Elisha yafunguliwa (16, 17)
Wasiria wapofushwa akili (18, 19)
Njaa kali katika jiji lililozingirwa la Samaria (24-33)
7
Elisha atabiri mwisho wa njaa kali (1, 2)
Chakula chapatikana katika kambi iliyoachwa ya Wasiria (3-15)
Unabii wa Elisha watimizwa (16-20)
8
Mwanamke Mshunamu arudishiwa shamba lake (1-6)
Elisha, Ben-hadadi, na Hazaeli (7-15)
Yehoramu, mfalme wa Yuda (16-24)
Ahazia, mfalme wa Yuda (25-29)
9
Yehu atiwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli (1-13)
Yehu amuua Yehoramu na Ahazia (14-29)
Yezebeli auawa; mbwa wala maiti yake (30-37)
10
Yehu awaua watu wa nyumba ya Ahabu (1-17)
Yehu awaua waabudu wa Baali (18-27)
Maelezo kuhusu utawala wa Yehu (28-36)
11
Athalia aunyakua ufalme (1-3)
Yehoashi awekwa kisiri kuwa mfalme (4-12)
Athalia auawa (13-16)
Mabadiliko yaliyofanywa na Yehoyada (17-21)
12
13
Yehoahazi, mfalme wa Israeli (1-9)
Yehoashi, mfalme wa Israeli (10-13)
Elisha apima bidii ya Yehoashi (14-19)
Kifo cha Elisha; mifupa yake yamfufua mtu (20, 21)
Unabii wa mwisho wa Elisha watimizwa (22-25)
14
Amazia, mfalme wa Yuda (1-6)
Apigana vita na Waedomu na Waisraeli (7-14)
Kifo cha Yehoashi wa Israeli (15, 16)
Kifo cha Amazia (17-22)
Yeroboamu wa Pili, mfalme wa Israeli (23-29)
15
Azaria, mfalme wa Yuda (1-7)
Wafalme wa mwisho wa Israeli: Zekaria (8-12), Shalumu (13-16), Menahemu (17-22), Pekahia (23-26), Peka (27-31)
Yothamu, mfalme wa Yuda (32-38)
16
Ahazi, mfalme wa Yuda (1-6)
Ahazi awahonga Waashuru (7-9)
Ahazi aiga madhabahu ya wapagani (10-18)
Kifo cha Ahazi (19, 20)
17
Hoshea, mfalme wa Israeli (1-4)
Kuanguka kwa Israeli (5, 6)
Waisraeli wapelekwa uhamishoni kwa sababu ya uasi imani (7-23)
Wageni waletwa katika majiji ya Samaria (24-26)
Mchanganyiko wa dini katika Samaria (27-41)
18
Hezekia, mfalme wa Yuda (1-8)
Maelezo kuhusu kuanguka kwa Israeli (9-12)
Senakeribu avamia Yuda (13-18)
Rabshake amdhihaki Yehova (19-37)
19
Hezekia amwomba Mungu msaada kupitia Isaya (1-7)
Senakeribu alitisha jiji la Yerusalemu (8-13)
Sala ya Hezekia (14-19)
Isaya ampa Hezekia jibu kutoka kwa Mungu (20-34)
Malaika awaua Waashuru 185,000 (35-37)
20
Hezekia awa mgonjwa kisha apona (1-11)
Wajumbe kutoka Babiloni (12-19)
Kifo cha Hezekia (20, 21)
21
Manase, mfalme wa Yuda; jinsi alivyomwaga damu (1-18)
Amoni, mfalme wa Yuda (19-26)
22
Yosia, mfalme wa Yuda (1, 2)
Maagizo ya kurekebisha hekalu (3-7)
Kitabu cha Sheria chapatikana (8-13)
Hulda atabiri msiba (14-20)
23
Yosia afanya mabadiliko (1-20)
Pasaka yasherehekewa (21-23)
Yosia afanya mabadiliko zaidi (24-27)
Kifo cha Yosia (28-30)
Yehoahazi, mfalme wa Yuda (31-33)
Yehoyakimu, mfalme wa Yuda (34-37)
24
Uasi na kifo cha Yehoyakimu (1-7)
Yehoyakini, mfalme wa Yuda (8, 9)
Uhamisho wa kwanza wa kwenda Babiloni (10-17)
Sedekia, mfalme wa Yuda; uasi wake (18-20)
25
Nebukadneza azingira Yerusalemu (1-7)
Jiji la Yerusalemu laharibiwa pamoja na hekalu lake; uhamisho wa pili (8-21)
Gedalia awekwa kuwa gavana (22-24)
Gedalia auawa; watu wakimbilia Misri (25, 26)
Yehoyakini aachiliwa huru Babiloni (27-30)