SEFANIA YALIYOMO 1 Siku ya Yehova ya hukumu iko karibu (1-18) Siku ya Yehova inakuja haraka sana (14) Fedha na dhahabu haviwezi kuokoa (18) 2 Mtafuteni Yehova kabla ya siku yake ya hasira (1-3) Tafuteni uadilifu na upole (3) “Huenda mtafichwa” (3) Mataifa jirani yahukumiwa (4-15) 3 Yerusalemu, jiji lenye uasi na upotovu (1-7) Kuhukumiwa na kurudishwa (8-20) Wapewa lugha safi (9) Wanyenyekevu na wapole wataokolewa (12) Yehova atashangilia kwa sababu ya Sayuni (17)