Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Desemba uku. 2
  • Mtafute Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mtafute Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Mtafuteni Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Wachukueni Manabii Kuwa Kielelezo​—Sefania
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • “Tafuteni Yehova, Ninyi Nyote Wasikivu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Desemba uku. 2
Sefania akizungumza na Waisraeli

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | SEFANIA 1–HAGAI 2

Mtafuteni Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira

Sef 2:2, 3

Ili Yehova atufiche katika siku yake ya hasira, tunapaswa kufanya mengi zaidi ya kujiweka wakfu kwake. Tunapaswa kutii mwongozo ambao Sefania aliwapa Waisraeli.

  • Mtafuteni Yehova: Dumisha uhusiano wa karibu pamoja na Yehova kwa kushirikiana na tengenezo lake

  • Utafuteni uadilifu: Dumisha viwango vya uadilifu vya Yehova

  • Utafuteni upole: Jitiishe kwa Mungu ili kufanya mapenzi yake kwa unyenyekevu na ukubali nidhamu kutoka kwake

Ninaweza kumtafutaje Yehova, uadilifu, na upole kwa kiwango kikubwa zaidi?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki