1
Salamu (1-3)
Paulo amshukuru Mungu kwa sababu ya Wakorintho (4-9)
Wahimizwa kuwa na umoja (10-17)
Kristo, nguvu na hekima ya Mungu (18-25)
Kujisifu tu katika Yehova (26-31)
2
Paulo ahubiri huko Korintho (1-5)
Ubora wa hekima ya Mungu (6-10)
Tofauti kati ya mtu wa kiroho na mtu wa kimwili (11-16)
3
Bado Wakorintho ni wa kimwili (1-4)
Mungu hufanya ikue (5-9)
Jengeni kwa vifaa visivyoshika moto (10-15)
Ninyi ni hekalu la Mungu (16, 17)
Hekima ya ulimwengu ni upumbavu kwa Mungu (18-23)
4
Wasimamizi wanapaswa kuwa waaminifu (1-5)
Unyenyekevu wa wahudumu Wakristo (6-13)
Paulo awajali watoto wake wa kiroho (14-21)
5
6
Kesi miongoni mwa akina ndugu Wakristo (1-8)
Wale ambao hawataurithi Ufalme (9-11)
Mtukuzeni Mungu katika miili yenu (12-20)
7
8
9
10
Vielelezo vya kuonya kutokana na historia ya Israeli (1-13)
Onyo dhidi ya ibada ya sanamu (14-22)
Uhuru na kuwafikiria wengine (23-33)
11
“Iweni waigaji wangu” (1)
Ukichwa na kufunika kichwa (2-16)
Kuadhimisha Mlo wa Jioni wa Bwana (17-34)
12
13
14
15
Ufufuo wa Kristo (1-11)
Ufufuo, msingi wa imani (12-19)
Ufufuo wa Kristo unatoa uhakikisho (20-34)
Mwili wa nyama, mwili wa kiroho (35-49)
Kutoweza kufa na kutoweza kuharibika (50-57)
Kuwa na mengi ya kufanya katika kazi ya Bwana (58)
16
Mchango kwa ajili ya Wakristo huko Yerusalemu (1-4)
Mipango ya safari za Paulo (5-9)
Mipango ya ziara za Timotheo na Apolo (10-12)
Himizo na salamu (13-24)