1
Salamu (1-7)
Paulo atamani kutembelea Roma (8-15)
Mwadilifu ataishi kupitia imani (16, 17)
Watu wasiomwogopa Mungu hawana sababu ya kujitetea (18-32)
2
Hukumu ya Mungu dhidi ya Wayahudi na Wagiriki (1-16)
Wayahudi na Sheria (17-24)
Kutahiriwa moyoni (25-29)
3
“Mungu na aonekane kuwa wa kweli” (1-8)
Wayahudi na Wagiriki wako chini ya dhambi (9-20)
Uadilifu kupitia imani (21-31)
4
5
6
Uhai mpya kupitia ubatizo katika Kristo (1-11)
Msiache dhambi itawale katika miili yenu (12-14)
Kuacha utumwa wa dhambi na kuwa watumwa wa Mungu (15-23)
7
Kuwekwa huru kutoka katika Sheria kwafafanuliwa (1-6)
Dhambi yafunuliwa kupitia Sheria (7-12)
Kupambana na dhambi (13-25)
8
Uzima na uhuru kupitia roho (1-11)
Roho ya kuwa wana hutoa ushahidi (12-17)
Uumbaji unangojea uhuru wa wana wa Mungu (18-25)
‘Roho hutuombea’ (26, 27)
Mungu aliwachagua awali (28-30)
Ushindi kupitia upendo wa Mungu (31-39)
9
Paulo awahuzunikia Israeli wa kimwili (1-5)
Uzao wa kweli wa Abrahamu (6-13)
Mungu akichagua haiwezekani kumpinga (14-26)
Ni mabaki tu watakaookolewa (27-29)
Israeli wajikwaa (30-33)
10
11
Israeli hawakukataliwa wote (1-16)
Mfano wa mzeituni (17-32)
Kina cha hekima ya Mungu (33-36)
12
Toeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai (1, 2)
Zawadi mbalimbali lakini mwili mmoja (3-8)
Ushauri kuhusu maisha ya Wakristo wa kweli (9-21)
13
Kujitiisha chini ya mamlaka (1-7)
Upendo hutimiza Sheria (8-10)
Jiendesheni kama wakati wa mchana (11-14)
14
15
Karibishaneni kama Kristo alivyofanya (1-13)
Paulo, mtumishi kwa mataifa (14-21)
Mipango ya safari za Paulo (22-33)
16
Paulo amtambulisha Fibi, mhudumu (1, 2)
Salamu kwa Wakristo huko Roma (3-16)
Waonywa kuhusu migawanyiko (17-20)
Salamu kutoka kwa wafanyakazi wenzi wa Paulo (21-24)
Siri takatifu yafunuliwa (25-27)