TITO YALIYOMO 1 Salamu (1-4) Tito aagizwa kuweka rasmi wazee huko Krete (5-9) Wakaripie wale wanaoasi (10-16) 2 Ushauri unaofaa kwa wazee na vijana (1-15) Kataa matendo yasiyompendeza Mungu (12) Bidii kwa ajili ya matendo mema (14) 3 Kujitiisha kwa njia inayofaa (1-3) Uwe tayari kufanya matendo mema (4-8) Epuka mabishano ya kipumbavu na madhehebu (9-11) Maagizo ya kibinafsi na salamu (12-15)