Ufunuo—Yaliyomo Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1
Ufunuo kutoka kwa Mungu, kupitia Yesu ( 1-3 )
Salamu kwa yale makutaniko saba ( 4-8 )
Yohana katika siku ya Bwana kwa mwongozo wa roho ( 9-11 )
Maono ya Yesu aliyetukuzwa ( 12-20 )
2
3
4
5
Kitabu cha kukunjwa chenye mihuri saba ( 1-5 )
Mwanakondoo achukua kitabu cha kukunjwa ( 6-8 )
Mwanakondoo anastahili kufungua mihuri ( 9-14 )
6
7
Malaika wanne wanaozuia pepo za maangamizi ( 1-3 )
Wale 144,000 watiwa muhuri ( 4-8 )
Umati mkubwa ukiwa umevaa kanzu nyeupe ( 9-17 )
8
9
10
11
12
Mwanamke, mtoto wa kiume, na joka ( 1-6 )
Mikaeli apigana na yule joka ( 7-12 )
Joka amtesa mwanamke ( 13-17 )
13
Mnyama-mwitu mwenye vichwa saba atoka baharini ( 1-10 )
Mnyama-mwitu mwenye pembe mbili atoka duniani ( 11-13 )
Sanamu ya mnyama-mwitu mwenye vichwa saba ( 14, 15 )
Alama na namba ya mnyama-mwitu ( 16-18 )
14
Mwanakondoo na wale 144,000 ( 1-5 )
Ujumbe kutoka kwa malaika watatu ( 6-12 )
Wenye furaha ni wale wanaokufa katika muungano na Kristo ( 13 )
Dunia yavunwa mara mbili ( 14-20 )
15
16
17
18
“Babiloni Mkubwa” aanguka ( 1-8 )
Kuombolezea anguko la Babiloni ( 9-19 )
Kushangilia mbinguni kwa sababu ya anguko la Babiloni ( 20 )
Babiloni kutupwa baharini kama jiwe ( 21-24 )
19
Msifuni Yah kwa sababu ya hukumu zake ( 1-10 )
Aliyepanda farasi mweupe ( 11-16 )
Mlo mkubwa wa jioni wa Mungu ( 17, 18 )
Mnyama-mwitu ashindwa ( 19-21 )
20
Shetani afungwa kwa miaka 1,000 ( 1-3 )
Wale watakaotawala pamoja na Kristo kwa miaka 1,000 ( 4-6 )
Shetani afunguliwa, kisha aangamizwa ( 7-10 )
Wafu wahukumiwa mbele ya kiti cheupe cha ufalme ( 11-15 )
21
22