Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w77 4/1 uku. 156
  • Kujifunza Kuishi Kulingana na Biblia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujifunza Kuishi Kulingana na Biblia
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi ya Kuwa na Uchumba Wenye Mafanikio
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Kuendeleza Uchumba Kuwa Wenye Kuheshimika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Maoni ya Mkristo Juu ya Uchumba
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Matembezi ya Wavulana Pamoja na Wasichana na Uchumba
    Kupata Faida Zote za Ujana Wako
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
w77 4/1 uku. 156

Kujifunza Kuishi Kulingana na Biblia

◆ Kijana Myahudi mwanamume aliyekuwa akiishi katika mji ulio kati ya Ulaya na Asia alikuwa akitiwa moyo na waalimu wa dini wa eneo hilo apate mazoezi ya ualimu wa dini. Wao walimtia moyo ayapate ijapokuwa walijua alikuwa mfisadi. Alipokuwa akifikiria maombi yao, Mashahidi wa Yehova walimfikia. Ingawa aliyajua sana Maandiko ya Kiebrania, alikubali kujifunza nao Biblia. Karibuni akajua kwamba kujua tu yanayofundishwa na Biblia hakutoshi bali kwamba kuyazoea ni kwa maana pia. Aliposoma makala katika Mnara wa Mlinzi juu ya maoni ya Mkristo juu ya uchumba, alisadiki kwamba njia yake ya maisha haikumpendeza Mungu. Aliwaendea waalimu wake wa dini akawaonyesha walikuwa wameshindwa kumfundisha ubora wa kuishi kupatana na Maandiko Matakatifu. Waalimu hao hawakuweza kumpa majibu ya kumtosheleza.

Aliamua kwamba Mashahidi wa Yehova walikuwa wakiishi kupatana na dini ya kweli, zaidi ya kuifundisha. Kwa hiyo aliendelea kujifunza Biblia akithamini zaidi akaanza kubadili maisha yake. Hata alitembelea wasichana wote aliokuwa akifanya uasherati nao, akaketi wazungumze na kuwasomea makala ya uchumba. Sasa wawili kati ya wasichana hao wanaeleza wengine kweli ya Biblia kwa bidii, na yeye mwenyewe amekuwa mwanafunzi aliyebatizwa wa Yesu Kristo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki