Ukurasa wa pili
Majiji-Mbona Yamo Taabani? 3-10
Majiji yanafurika watu. Na majiji mengi yametumbukia taabani kwa sababu ya tatizo hilo.
Ustadi na Utaalamu wa Kutabiri Hali ya Hewa 12
Soma jinsi wapimaji wa hali ya hewa wanavyofanya matabiri yao.
Kutukuza Amani Badala ya Vita 22
Jifunze kuhusu sababu iliyomfanya msanii mmoja aache kazi-maisha yake nzuri.