Ukurasa wa Pili
Uhai Una Thamani 3-12
Ijapokuwa watu wengi huupenda na kuutunza sana uhai, visa vya kujiua vinaongezeka sana ulimwenguni pote. Kwa nini? Kujiua husababishwa na mambo yapi yasiyo dhahiri? Mtu mwenye tamaa hiyo hatari aweza kuzuiwaje?
Safu ya Milima ya Rocky Iliyofanyizwa Karibuni Zaidi 16
Zuru Mbuga ya Wanyama ya Grand Teton pamoja nasi na ujifunze kuhusu safu hiyo ya milima yenye kuvutia na wanyama wanaopatikana huko.
Udugu Wenye Umoja Usioweza Kuvunjwa 23
El Salvador ilipokumbwa na matetemeko ya ardhi mapema mwaka huu, udugu wa Kikristo wa Mashahidi wa Yehova ulijikakamua kuandaa msaada.