Ukurasa wa Pili
Je, Ugonjwa Hatari wa Ukimwi Utakomeshwa? 3-11
UKIMWI ni ugonjwa hatari unaoenea ulimwenguni pote. Hata hivyo, kwa sasa Afrika Kusini ndiyo imeathiriwa zaidi. Je, ugonjwa huo utakomeshwa?
Mlima Wachongwa Kuwa Sanamu ya Ukumbusho 14
Katika Milima Myeusi huko South Dakota, Marekani, sanamu fulani inachongwa ili iwe ukumbusho kwa Wahindi wa Amerika Kaskazini.
Je, Mungu Hupuuza Udhaifu Wetu? 26
Je, tunaweza kuushinda udhaifu wetu? Na tunapaswa kufanya nini ili kuushinda?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Copyright Sean Sprague/Panos Pictures
AP Photo/Efrem Lukatsky
JALADA: Alyx Kellington/Index Stock Photography