Yaliyomo
Septemba 8, 2005
Ushirikiano Ni Muhimu kwa Uhai
Je, inawezekana kwamba ushirikiano uliopo kati ya viumbe unaonyesha upatano utakaokuwapo chini ya utawala wa Ufalme wa Mungu?
5 Kwa Nini Ushirikiano Ni Muhimu?
11 Upatano Utakapoenea Ulimwenguni Pote
13 Laiti Ningalifanya Hivyo Mapema Zaidi’
18 Vijana Wanaotoa Ushahidi Wenye Nguvu
20 Mwaka wa Kipekee wa Einstein
22 Wasafishaji Wenye Kushangaza wa Baharini
32 Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai?
Njoo uone Mlima Etna, ambao ndio mlima mrefu zaidi wenye volkano hai barani Ulaya!
Je, Usali kwa Bikira Maria? 26
Mamilioni ya watu husali kwa Maria. Je, desturi hiyo inaungwa mkono na Biblia?
[Picha katika jalada]
Jalada: Mla-kupe mwenye mdomo mwekundu akiwa juu ya nyati. Ndege huyu hula wadudu wanaoishi juu ya nyati naye pia hutoa onyo hatari inapotokea
[Picha katika ukurasa wa 2]
Nyangumi wenye nundu hushirikiana kushika uduvi
[Hisani]
© Brandon Cole
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
© Geoff Mackley/www.geoffmackley.com