Yaliyomo
Desemba 2008
Kwa Nini Tupo Hapa?
Tangu zamani, watu wamejiuliza: ‘Tulitoka wapi? Kwa nini tupo hapa? Tunaelekea wapi?’ Soma habari inayohusu mambo hayo.
16 Picha Maridadi “Zilizochorwa” kwa Mawe
22 Nguvu za Udanganyifu za Matangazo ya Biashara
23 Paua—Jiwe la Thamani la Baharini
30 Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2008
31 Ungejibuje?
32 Aponywa na “Kitabu cha Zamani Sana”
Yesu Alizaliwa Wakati Gani? 10
Je, Yesu alizaliwa Desemba? Je, ni jambo la maana kujua ikiwa alizaliwa wakati huo au la?
Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini Korea 12
Jifunze kuhusu matatizo yaliyompata mtu mmoja aliyeishi wakati wa vita viwili ambavyo viliharibu Korea na suala ambalo vijana wengi wa Korea bado wanakabili.