Yaliyomo
Aprili 2009
Kufadhaishwa Shuleni na Kwingine
Kwa nini watoto wengi wanakabili mfadhaiko shuleni? Mfadhaiko huo unasababishwa na nini? Wazazi na walimu wanaweza kufanya nini ili kuwasaidia wanafunzi hao?
9 Wazazi Wanaweza Kusaidia Jinsi Gani?
10 Bucharest—Jiji Lenye Majengo ya Kale na ya Kisasa
19 Mtu Aliyechora Ramani ya Dunia
31 Ungejibuje?
32 Watoto Wanakipenda Sana Kitabu Hicho!
Ni Nani Anayekusaidia Wakati wa Dharura? 12
Wahudumu wa hali za dharura hupata mazoezi gani? Wao hutimiza fungu gani kunapokuwa na hali ya dharura? Soma majibu kutoka kwa mhudumu wa hali za dharura nchini Kanada.
Uaminifu Katika Ndoa—Unamaanisha Nini Hasa? 28
Je, kuwazia kufanya ngono na mtu mwingine asiye mwenzi wako kuna madhara? Unaweza kuepuka ukosefu wa uaminifu jinsi gani?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Taken by courtesy of City of Toronto EMS