Yaliyomo
Desemba 2015
© 2015 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
15 Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2015
HABARI ZAIDI KWENYE INTANETI
VIDEO
Ona jinsi Sofia na Caleb wanavyofurahi wanapowapa wengine zawadi.
(Tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > WATOTO)
James Ryan alizaliwa akiwa kiziwi na baadaye akawa kipofu. Hebu ona sababu inayomfanya ahisi kwamba kwa msaada wa familia na kutaniko lake, amepata mengi kuliko yale aliyopoteza.
(Tafuta kwenye KUTUHUSU > UTENDAJI)