Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • le kur. 11-13
  • Je! Mungu Ataharibu Wabaya Tena?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Mungu Ataharibu Wabaya Tena?
  • Furahia Milele Maisha Duniani!
  • Habari Zinazolingana
  • Tunapaswa Kufanya Nini ili Kumpendeza Mungu?
    Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Inakupasa Kufanya Nini?
    Furahia Milele Maisha Duniani!
  • Sehemu ya 13
    Msikilize Mungu
  • Je, Tumwabudu Mungu Kupitia Sanamu?
    Amkeni!—2008
Pata Habari Zaidi
Furahia Milele Maisha Duniani!
le kur. 11-13

Je! Mungu Ataharibu Wabaya Tena?

22 Hata watu wa siku hizi ni wabaya sana. Ni mambo gani mabaya ambayo yanafanywa hapa?

23 Wengine wanaua wenzao. Mungu anasema usifanye hivyo hata kidogo.—Kutoka 20:13; 1 Yohana 3:11, 12

24 Wengine wanaiba. Mungu anasema usiibe hata kidogo.—Kutoka 20:15; Waefeso 4:28

25 Watu wengine wanaoa wanawake wengi. Wengine wanaishi pamoja na wanawake wawili au zaidi katika nyumba mbali mbali. Hata wanaume na wanawake wengine wanaishi pamoja bila kuoana kisheria. Mambo hayo yote hayapatani na maneno ya Biblia.—Mathayo 19:4-6; 1 Wakorintho 7:1-4; 1 Timotheo 3:1, 2

26 Je! wewe unakumbuka kwamba Mungu alimpa Adamu mke mmoja tu?—Mwanzo 2:22, 24

27 Wengine wanaabudu sanamu. Mungu anasema usitumie hata kidogo sanamu au mifano katika ibada.—Kutoka 20:4, 5; Isaya 44:9-17; 1 Yohana 5:21

28 Yehova ataharibu wabaya ambao hawageuki.—Zaburi 37:9, 10; Luka 13:5; 1 Wakorintho 6:9, 10

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki