Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • le kur. 9-10
  • Mungu Anaharibu Ulimwengu Mbaya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mungu Anaharibu Ulimwengu Mbaya
  • Furahia Milele Maisha Duniani!
  • Habari Zinazolingana
  • Sehemu ya 5
    Msikilize Mungu
  • Maji Yachukua Ulimwengu
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
  • Safina ya Noa
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Watu Nane Waliokoka na Kuingia Katika Ulimwengu Mpya
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
Pata Habari Zaidi
Furahia Milele Maisha Duniani!
le kur. 9-10

Mungu Anaharibu Ulimwengu Mbaya

18 Watoto ambao walizaliwa na Adamu waliongezeka wakawa wengi. Wao pia wakawa wabaya sana. Basi Mungu akaamua kuwaharibu.—Mwanzo 6:1, 5, 7

19 Lakini alikuwako mwanamume mmoja mzuri jina lake Noa.—Mwanzo 6:8, 9

Yehova Mungu alimwambia ajenge meli kubwa sana ambayo yeye na jamaa yake wangeokolewa wakiwa ndani wakati watu wabaya wangekuwa wakiharibiwa. Meli hiyo ilikuwa kama sanduku kubwa. Iliitwa safina.—Mwanzo 6:13, 14

20 Waliingiza wanyama wengi ndani ya safina.—Mwanzo 6:19-21

21 Yehova alinyesha mvua kubwa sana. Wabaya wote walikufa. Wale waliokuwa ndani ya safina waliokolewa. Wewe unajua sababu?—Mwanzo 6:17; 7:11, 12, 21; 1 Petro 3:10-12

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki