Sehemu 1
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu,” Asema Yehova
Kwa nini Yehova awe na mashahidi? Wao ni akina nani? Kata hii (Sura ya 1 hadi 9) yaandaa pitio fupi la jinsi ambavyo Yehova amewatumia mashahidi kuanzia nyakati za kale hadi kufikia siku yetu.
Kila kata inayofuata ina mazungumzo ya kiana kirefu juu ya jambo hususa la historia hiyo.
[Picha katika ukurasa wa 8]