Wimbo Na. 147
Mali ya Pekee
Makala Iliyochapishwa
Mungu ana taifa,
la watiwa-mafuta.
Alilipa kwa damu;
ya mwana mpendwa.
(KORASI)
Mali ya pekee,
Wabeba jina lako.
Mungu wanampenda.
Kote wanatangaza sifa.
Taifa takatifu,
wameshika ukweli.
Wametoka gizani
umewapa nuru.
(KORASI)
Mali ya pekee,
Wabeba jina lako.
Mungu wanampenda.
Kote wanatangaza sifa.
Na kondoo wengine,
wawakusanya pia.
Waminifu kwa Kristo.
na utume wao.
(KORASI)
Mali ya pekee,
Wabeba jina lako.
Mungu wanampenda.
Kote wanatangaza sifa.
(Ona pia Isa. 43:20b, 21; Mal. 3:17; Kol. 1:13.)