Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb kur. 122-123
  • Utangulizi wa Sehemu ya 9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 9
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Ujasiri wa Yehoyada
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Yehoashi Alimwacha Yehova kwa Sababu ya Marafiki Wabaya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Mfalme Aliyesahau Shukrani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Alitaka Kusaidia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb kur. 122-123
Msichana Mwisraeli akizungumza na mke wa Naamani mwenye ukoma

Utangulizi wa Sehemu ya 9

Sehemu hii inatufundisha kuhusu vijana, manabii, na wafalme walioonyesha imani ya pekee kumwelekea Yehova. Kule Siria, msichana mdogo Mwisraeli alikuwa na imani kwamba nabii wa Yehova angemponya Naamani. Nabii Elisha alikuwa na uhakika kwamba Yehova angemlinda kutokana na jeshi adui. Kuhani Mkuu Yehoyada alihatarisha uhai wake ili kumlinda Yehoashi, aliyekuwa bado mtoto, kutokana na nyanya (au bibi) yake mwovu, Athalia. Mfalme Hezekia alikuwa na uhakika kwamba Yehova angeliokoa Yerusalemu, na hata alipotishiwa na Waashuru hakusalimu amri. Mfalme Yosia aliondoa kabisa ibada ya sanamu katika nchi yote, akarekebisha hekalu, na akarudisha ibada ya kweli nchini.

MAMBO MAKUU

  • Hata ukiwa mtoto unaweza kutoa ushahidi kumhusu Yehova

  • Tunapofanya kilicho sawa, Yehova anaahidi kwamba atakuwa pamoja nasi

  • Kama Yona, jifunze kufuata miongozo ya Yehova na usilalamike mambo yasipoenda kama unavyotarajia

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki