SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 11A
Baadhi ya Walinzi Walioweka Mfano Mzuri
Makala Iliyochapishwa
Walinzi hawa walikabili upinzani, lakini waliendelea kuwa washikamanifu, na walitangaza maonyo na pia habari njema.
ISRAELI LA KALE
Isaya 778–karibu 732 K.W.K.
Yeremia 647-580 K.W.K.
Ezekieli 613–karibu 591 K.W.K.
KARNE YA KWANZA
Yohana Mbatizaji 29-32 W.K.
Yesu 29-33 W.K.
Paulo karibu 34–karibu 65 W.K.
NYAKATI ZETU
C. T. Russell na Wenzake karibu 1879-1919
Mtumwa Mwaminifu 1919–Leo