Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • rr uku. 131
  • Kuunganishwa kwa Vijiti Viwili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuunganishwa kwa Vijiti Viwili
  • Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • “kwa ajili ya Yuda”
  • “kwa ajili ya Yosefu, kijiti cha Efraimu”
  • “viwe kijiti kimoja tu mkononi mwako”
  • Wazo kuu ni kuunganishwa
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • “Nitawafanya Kuwa Taifa Moja”
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Umoja Katika Ibada Chini ya Mfalme-Mchungaji Wetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Ufundi wa Kupamba Bakora
    Amkeni!—1998
Pata Habari Zaidi
Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
rr uku. 131

SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 12A

Kuunganishwa kwa Vijiti Viwili

Makala Iliyochapishwa

Yehova anamwagiza Ezekieli aandike kwenye kijiti kimoja “kwa ajili ya Yuda” na kingine “kwa ajili ya Yosefu, kijiti cha Efraimu.”

Vijiti viwili vya unabii wa Ezekieli.

“kwa ajili ya Yuda”

NYAKATI ZA KALE

Ufalme wa Yuda wenye makabila mawili

NYAKATI ZA KISASA

Watiwa mafuta

“kwa ajili ya Yosefu, kijiti cha Efraimu”

NYAKATI ZA KALE

Ufalme wa Israeli wenye makabila kumi

NYAKATI ZA KISASA

Kondoo wengine

Ezekieli akiwa ameshikilia vijiti viwili katika mkono mmoja.

“viwe kijiti kimoja tu mkononi mwako”

NYAKATI ZA KALE

537 K.W.K. Waabudu wa kweli warudi kutoka katika mataifa, wajenga upya Yerusalemu, na kuabudu wakiwa taifa moja.

NYAKATI ZA KISASA

Tangu 1919, watu wa Mungu wanapangwa hatua kwa hatua na kuunganishwa ili watumikie wakiwa “kundi moja.”

Wazo kuu ni kuunganishwa

Unabii huo haufafanui kwamba kijiti kimoja kilivunjwa kuwa vipande viwili na baadaye vikaunganishwa pamoja. Badala yake unafafanua vijiti viwili vinavyounganishwa na kuwa kimoja. Hivyo, unabii huo haukukazia jinsi taifa la Israeli lilivyogawanyika na kuwa falme mbili. Badala yake, ulikazia jinsi ambavyo falme hizo mbili zingeunganishwa na kuwa ufalme mmoja.

Angalia sura ya 12, fungu la 3-6, 13, 14

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki