Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CA-brpgm18 kur. 3-4
  • Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  • Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2017-2018​—Lililo na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Sheria ya Kristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Kuishi Kulingana na Sheria ya Kristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Je! Tuko Chini ya Zile Amri Kumi?
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2017-2018​—Lililo na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi
CA-brpgm18 kur. 3-4

Tafuta Majibu ya Maswali Haya:

  1. “Sheria ya Kristo” ni nini? (Gal. 6:2)

  2. Tunaweza kutimizaje sheria ya Kristo tukiwa faraghani? (1 Kor. 10:31)

  3. Tunatimizaje sheria ya Kristo katika huduma ya shambani? (Luka 16:10; Mt. 22:39; Mdo. 20:35)

  4. Ni nini kinachoifanya sheria ya Kristo iwe bora kuliko Sheria ya Musa? (1 Pet. 2:16)

  5. Ni kwa njia gani wenzi wa ndoa na wazazi wanaweza kutimiza sheria ya Kristo katika familia zao? (Efe. 5:22, 23, 25; Ebr. 5:13, 14)

  6. Unaweza kutimizaje sheria ya Kristo unapokuwa shuleni? (Zab. 1:1-3; Yoh. 17:14)

  7. Ni kwa njia zipi tunaweza kuwapenda wengine kama Yesu alivyotupenda? (Gal. 6:1-5, 10)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki